Wadaku, wahondo…
Kwanza, ogopeni web history!!!! Nafanya kazi na watu amabao wana masaa mob za kupoteza na nafikiri wamenipata hapa kwa blogu yangu lakini as E-Sir said “hawanitishi, hawanibabaishi”. Lakini hawazungumzi lugha (the argument can also be made that I don’t either but that is neither here nor there). (more…)

