Haidhuru

December 4, 2007

Wadaku, wahondo…

Kwanza, ogopeni web history!!!! Nafanya kazi na watu amabao wana masaa mob za kupoteza na nafikiri wamenipata hapa kwa blogu yangu lakini as E-Sir said “hawanitishi, hawanibabaishi”. Lakini hawazungumzi lugha (the argument can also be made that I don’t either but that is neither here nor there).

Haya basi… tuendelee. Yaani tunadhulumiwa. Serikali ya Marekani ilipatia kampuni ingine pesa ndio ifanye kazi huko pande za uhindi. Milioni moja na nusu. Lakini laki nane zitalipa mishahara za watu wa Marekani. Isitoshe, sasa wanatafuta eti meneja wa project kutoka Marekani. Urghhhhhhh!!! Nilipouliza mbona hawatafuti mtu wa kutoka hiyo nchi, huyu mzungu aliniangalia na akasema (Mungu moja!!!) “Hawawezi kazi” in such a matter of fact way I was taken aback. Ndio nikanyamaza na nikauliza kama naeza kuiona ile CV ya malaika huyu wa kutoka Marekani anayetumwa huko. Walhai, ni mwanafunzi!!!!! Alimaliza campus mwaka huu!!!! Na nchi yote ya Ne.pal haina watu ambao wanaweza kazi kama huyo ex-mwanafunzi. This aid business ni ya wezi na wajinga. Nilitukanana (sort of) kwa sababu that’s madharau pure plain and simple. Na kama wanadharau nchi nzima hivyo, best believe hata mimi, nitatafutiwa mwanafunzi anifundishe kuandika kizungu (ama Kiswahili!!).

Nimechoka.

(kwanza bila spell check sijui vile tulikuwa tunaziandika zile insha..)

6 Comments »

The URI to TrackBack this entry is: http://haidhuru.blogsome.com/2007/12/04/p107/trackback/

  1. naona dada uko na hamaki kwa matendo ya hawa wafadhili, kiswahili changu hakiniruhusu kuifanya hili wazo justice. basi nitabaki hapa nikofoka tu kwa hasira. kiswahili kigumu kama unafikiri kwa kiingereza na kuandika kiswahili, LO!! Insha nilianguka vimwadhara!

    Aegus!!! Ati vimwadhara. Jemeni mbona wanitolea msamiati!!! Haidhuru, kamusi iko :)

    Comment by aegeus — December 4, 2007 @ 1:52 am

  2. makofi kwako…kiswahili chako kizuri.
    Hiyo story ni discrimnation wazi wazi!

    na tena basi! Lakini watasema eti ni “fiscal responsibility” *smh*

    Comment by Farmgal — December 4, 2007 @ 2:24 am

  3. Sisi waKenya tumebahatika kuwa na lugha nyingi za mawasiliano. Sasa watajaribu kutafsiri na watashindwa. Na wakiweza lugha hii itabidi uingia katika lugha ya asili. Umeandika vizuri hata bila kuangaliziwa tarakimu (spelling) kwenye kompyuta.

    eh Bomseh!!! Washana nayo! Tarakimu is the neno for the siku. I’ll walk around just using it today:)

    Comment by Bomseh — December 4, 2007 @ 4:02 am

  4. vimwathara, ni kikwetu [sheng] kumaanisha vibaya sana.

    ahh.. wabi! (did I just date myself?)

    Comment by aegeus — December 4, 2007 @ 10:06 am

  5. Haya, hata nikijaribu sidhanii naweza andika kitu chochote kukaribia vile umeandika. Haidhuru :D Na hilo neno la kudiscriminate (ha, whatchu gonna do!) limeoneshana madharau mbaya.

    Tihi, I love some swa me, look at me now :(

    go dudette! re kuandika hii lugha ya taifa, once you start, you realize just how much you’ve forgotten and how out of practice you are. I am comforted by the fact that this will remain kati yangu, na wewe (OK na nchi ya Tanzania, na Congo mashariki…) all 5 people who read my blog that is :)

    Comment by Guess — December 4, 2007 @ 3:49 pm

  6. Eeeeeema! this is going to be H.A.R.D.
    Mimi najua vile ambavyo unasema. Naiona kwa kazi yangu kila saa. Unajua vile hawa wasee:-)eti hufikiria sijui breni (work with it ok!) oooh, akili zao ziko poa halafu wanajua diddly squeti (squat) kwanja me kuna matha mwingine I’m like, how the fuck did she snooker the red tape tondu because…aiiii. Hiyo ni sis tukiwa tuseme kaa form 3 hivi, and I kid you not! La hasha!

    Pole kusikia hayo mwana dada. Hizi/Hii (grrr) vita zitapiganwa you know na sisi ndio tutashinda.
    ditto @ fiscal responsibility….arrrghhhhhh, I Knoww!!!

    Ukop freshi lakini siste?

    My God! tarakimu…wafadhili/!! W.T.F!!!!

    Hi sweets… Niko sawa sistie. I’m laughing about third former ‘cause can I just tell you that this chick came to talk to us about some work that we’re doing and basically, she was angling for a job. So me I’m asking at first probing questions- she’s bilaz. I downgrade the questions- she’s still bilaz. So I ask her what her experience is and she says she wrote a term paper on it and she’s been to Mexico. I say “we’re talking about [African country]”. She says “yeah. same diff”
    *sigh*

    Comment by KM — December 5, 2007 @ 6:16 am

RSS feed for comments on this post.

Leave a comment

Line and paragraph breaks automatic, e-mail address never displayed, HTML allowed: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <code> <em> <i> <strike> <strong>


Get free blog up and running in minutes with Blogsome
Theme designed by Gary Rogers